World News

Friday, February 4, 2011

OMMY G ktk utengenezaji wa baadhi ya vipande vya video yake mpya "Wambele mbele"....

Muhuni Ommy G gansta aka Masimba aka Makodinda makostamina ktk hekeheka za kushoot video

Ommy G moja kati ya wasanii malegendari wa Makavulive alishuka pande za Coco beach mida ya jioni sana akiwa na kiparatuni chake kilicho jaa ndani ya bus aina ya Coaster baada ya ku-shoot vipande vingine kitaani kwao Kiwalani.

Akiwa katikati ya wahuni kibao waliompa kampani ya kutosha Ommy G kwa shangwe alianza kufata maelekezo ya director wa video hio na kuanza kazi.......

Mubba naye yupoooo....Mdau kaa mkao wa kula, mzigo utaingia kideoni dk 0 zijazoo!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...