Thursday, March 17, 2011

Dullayo kupagawisha ndani Club Billicanas Jumapili hii'...!

Dullayo aka D-Timing ataperform ndani ya ukumbi wa CluB Billicanas ktk usiku wa Bongo STAR's Nite jumapili hii ya tarehe 20/03/2011
akisindikizwa na SUPER DJ's wanaopiga ngoma kali na BONGO Flava TOP "10"
bila kusahau Uzinduzi wa Video za Bongo Flava
kwa Kiingilio cha Tshs. 5000/= tu!

Dullayo kwa sasa anatamba na ngoma zake za Twende na mimi pamoja na SuperStar aliyomshirikisha D-Knob, pia hivi karibuni ametoka kuachia video yake kali ya Twende na mimi!

Usikose hii show!

No comments:

Post a Comment