World News

Wednesday, March 2, 2011

OMMY G " Wambele mbele" aomba kura za waTanzania ktk Tuzo za Kili musics, category ya Wimbo bora wa asili ya Tanzania...!


Msanii mkongwe wa HipHop na sasa muziki wa asili Tanzania Ommary Muba aka Ommy G ambaye yupo ktk category ya WIMBO BORA WA ASILI YA TANZANIA amewaomba watanzania na wadau wengine wa muziki ulimwenguni kumpa support ya nguvu ktk kinyang'anyiro cha Tuzo za Kilimanjaro Musics 2011.
Kumpigia kura Ommy G
Andika sms X 184 Tuma kwenda namba 15747 kupitia mitandao yote ya simu Tanzania
au
unaweza kupiga kura yako kwa Ommy G ktk mitandao ya
www.gongamx.com na www.teentz.com

Pia unaweza kuufanya wimbo huo kuwa callertune yako ktk simu yako ya airtel kwa kutuma BUY 7424 kwenda 15578

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...