Tuesday, April 12, 2011

Asamoah Gyan atwaa Tuzo ya Muziki Ghana....!

Asamoah Gyan aka Baby Jet akiperform ktk moja ya show zao sambamba na Castro

Weekend iliyoishia juzi kulifanyika sherehe za Tuzo za Muziki nchini Ghana (Ghana Musics Awards 2010/2011) GMA ambapo moja kati ya washindi alikuwa ni mwanasoka nguli wa Afrika ASAMOAH GYAN anayekipigia ktk klabu ya soka ya Sunderland ya Uingereza na timu ya taifa ya Ghana Black stars, alishinda ktk category ya ‘Best Collaboration’ and ‘Hiplife Song of the Year’ nyimbo inayoitwa ‘African Girls’ aliyoshirikiana na msanii wa HipHop CASTRO

Castro akipokea moja ya Tuzo walizoshinda kupitia wimbo alioimba na Asamoah hayupo pichani

Ifuatayo ni list inayoonyesha majina ya washindi na tuzo walizochukua ambapo Tuzo ya Artist of tha year ilikwenda kwa wanaHiphop VIP, pia wasanii wengi walioongoza kwenye nominations hakuna aliyechukua tuzo zaidi ya mbili japo walichakuliwa mara 7 kwenye nominations na wengi wao ni wasanii wa Gospel...

1. Best Reggae Recording of the Year: Iwan

2. Gospel Song of the year: Cecilia Marfo

3. Highlife Song of the year: Kwabena Kwabena with ‘Dadeanoma’

4. Best Hiplife song of the year: Castro feat Asamoah Gyan with ‘African Girls’

5. Hip-hop song of the year: D’black with ‘Get on the dancefloor’

6. Afro pop song of the year: ‘Kiss your hand’ by R2bees.

7. MUSIGHA Merit Award: Emeritus Prof J.H Nketia

8. Traditional Artist of the year: Mustapha Addy

9. Instrumentalist of the year: Emmanuel Koomson

10. Best Collaboration: Castro Feat Asamoah Gyan with ‘African Girls’
11. Songwriter of the Year: Pastor Boamah

12. Best music for Development: Reggy Zippy with GHC 3000. All the other nominees took home GHC 300. Abraham Ohene-Gyan of OM Studios took home GHC 5000

13. Gospel artiste of the year: No tribe

14. Highlife artiste of the year: Kwabena Kwabena.


15. Rapper of year: Trigmatic

16. Record of the Year: Sammy B

17. Male Vocal Performance: Knii Lantey

18. Female Vocal Performance: Efya

19. Most Popular Song: Aha ye De by Nana Boro

20. Album of the year: Samini with CEO

21. Discovery of the Year: Herty Borngreat

22. Producer of the Year: Zapp Mallet

23. Video of the Year: Phamous People

24. Best African Artist: K’naan

25. Artiste of the year: VIP

26. Hip Life/Hip Hop Artiste(s) of the Year: VIP

No comments:

Post a Comment