Thursday, April 14, 2011

THE GAME KAFUNGUKA TENA


Rapper maarufu kutoka kwa Obama a.k.a United States of America, "Jayceon Terrell Taylor, well known as "the game" amefunguka na kuachia bonge ya ngoma inayokwenda kwa jina la " Red Nation" akiwa amempa shavu mwanae wa "ma life" lil wayne. Mzigo umesimamiwa na watu wazima (cool and dre) amboa washawahikufanya ngoma za watu kibao pande hivo akiwemo fat joe na wengine kibao



Cool and Dre

No comments:

Post a Comment