World News

Monday, April 18, 2011

Hasira za wa-Ivory kwa mke wa rais Gbagbo......

kumbe vitendo vya kidhalilishaji anavyofanyiwa mke wa raisi aliyetolewa kwa mbinde huko Ivory Coast Bi Simone Gbagbo(Iron Lady) vinamstahili kwa kile alichowafanyia wananchi wake kwa kipindi kirefu huko nyuma, pichani hapo juu akivutwavutwa nywele na masikio na wanajeshi waliomkamata


ukipata kusoma profile yake
http://www.newstimeafrica.com/archives/19278
utagundua hayo mengi mabaya kiasi cha kupoteza maisha ya raia wema wasiopungua mia nane (800) ktk kipindi kifupi cha machafuko yao nchini Ivory Coastmoja ya picha inayomwonyesha akiwa chini ya ulinzi wa askari vijana wanaonyesha kuwa na hasira nayeWanawake mkiwezeshwa msitumalize


"That first lady was a problem that why she was treated like that she was the one behind the husband’s refusiing to step down and mistreated a lot of people in her time in short she was running the country like Mrs. Mwanawasa I do not like RB but I do not think his wife is a bad person though I do not know her personly"Mwiponta Mukabwela(mfatiliaji wa habari hizo kutokea Zambia)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...