Dullayo
Wasanii kutokea Hood ya Makavulive wameachia nyimbo mojamoja kutoka kwa kila msanii ambapo, Sterling Dullayo aka D-Timing anaachia ngoma inayoitwa TUMBEBE akiwa amemshirikisha mkali kutokea ktk kundi la Wanaume Family Chege Chigunda.
Mchizi bado ana ngoma kibao kibindoni huku akiskilizia mchongo wa albamu yake ya pili (2) kwa mdosi, kwa sasa Dullayo anatamba na vibao vyake viwili ambavyo ni Twende na Mimi, na Supa Star.
Ommy G kushoto akishow love na B Dozen
OMMY G ganstar, nominee wa Tuzo za Kilimanjaro 2010 baada ya kuwakonga nyoyo fans wake na wimbo wa "Wambele mbele", hivi sasa ameachia ngoma nyingine ikiwa ktk mahadhi yaleyale ya asili inayoitwa "Watoto wa Nyumba ile".

No comments:
Post a Comment