Msanii MOST WANTED kwa wizi wa simu
Alvin Petro Nanyaro aka KISU akiwa ktk pozi kabla ya kumuibia simu tatu (3) Mike Tee aka Mnyalu
Msanii wa Bongofleva kitambo Mike Tee aka Mnyalu ameandika kwenye Facebook page yake kuwa ameibiwa simu zake 3 na msanii anayeitwa Kisu almaarufu ktk mitaa ya kariakoo, "Huyu Artist anaitwa KISU please kwa ambaye atakayemuona anipe report its serious. (MOST WANTED)", akaendelea kulielezea tukio zima la kuibisa simu zake 3 alipokuwa na msanii huyo alikuwa akimpeleka studio ili kumfanyia video ya wimbo wake mpya.
Mike Tee ame-post, "Simu niliziweka kwenye droo ambayo na camera ilikuwa humo naona alikuwa anachezea camera wakati ananisubiri nilikuwa ofisini kwa advocate nilipotoka akasema anaondokea palepale kkoo wakati haikuwa plan yetu nilipofika Mikocheni nafungua droo simu sikuziona nikampigia akaniambia analeta bt after a tym amezima simu to date'

"amejificha Dar hapo n katoa ngoma yake akionekana kwenye show yeyote hapa Bongo please nipewe report n nikimdaka I will reward you'
"dogo alikuja alikuwa anataka kufanya video kwenye kampuni yetu coz I know him toka zamani n I trust him nikawa nampeleka kwa jamaa akaisikilize then tujue tunaifanyaje then hapo ndipo kimeo kikatokea"
No comments:
Post a Comment