Friday, July 15, 2011

Ommy G alipovamia jukwaa la Taarab.....

Ommy G akiwaimbisha wapenzi wa taarabu sambamba na densaz wake ktk ukumbi wa Traverntine hotel weekend iliyopita pale alipopanda ktk jukwaa la bendi ya Jahazi morden taarab. Ommy G msanii mwenye sauti ya kipekee aliimba wimbo wake unaopendwa sana ulio ktk mahadhi ya kiasili 'Wambele mbele' na kukonga nyoyo za fans hao wa burudani...


Ommy G akiwa na wacheza show wake

No comments:

Post a Comment