Golden Dreams co. LTD wameandaa tuzo za muziki kuhusisha nchi nane za Afrika ya Mashariki ambazo ni TANZANIA, KENYA, UGANDA, ETHIOPIA, RWANDA, BURUNDI, SUDAN na CONGO DRC.
Tuzo hizo zinaangaliwa kutoka ktk style mbalimbali za muziki kama; Taarabu, Hiphop, Rhumba, Gospel na nyingine zinazoizunguka Afrika ya Mashariki na jirani zake. East Africa Music Awards EMAs itaonyeshwa live tarehe 20 Agosti mwaka huu kupitia vituo sita (6) za TV ktk maeneo ya Afrika, ikishirikisha majaji kumi (10) kutoka nchi husika.Nominees ktk categories tofauti hapa chini: -
URBAN CONTEMPORARY CATEGORY
Best Male
1. Dr. Claude - "Baramu Gyanye" - RWANDA
2. Nhaitty Man - "Nefs" - ETHIOPIA
3. Jaguar - "Kigeugeu" - KENYA
4. Bebe Cool - "Minzani" - UGANDA
Best Female
1. Liza Kamikazi - "More than a Dream" - RWANDA
2. Lady Jaydee - "Teza" - TANZANIA
3. Juliana - "Alive Again" - UGANDA
4. Wahu - "Sweet Love" - KENYA
Best Group
1. P-Unit - "Kare" - KENYA
2. Just Family - "Bareke" - RWANDA
3. Radio & Weasel - "Nakudata" - UGANDA
Best Collabo
1. AY ft. Mwana F.A. "Habari Ndio hiyo" - TANZANIA
2. Marya Ft. Avril - "Chokoza" - KENYA
3. Kidum ft. Juliana - "Haturudi Nyuma" - BURUNDI & UGANDA
4. Wyre Ft, Cecile - "She said dat" - KENYA
GOSPEL CATEGORY
Best male
1. Cedric Bangy - "Segneur" - Burundi.
2. Dominique Ashimwe - "Nditabye" - RWANDA
3. Dawit Getachew - "Etebikihalehu" - ETHIOPIA
4. Wiseye Willie - "Buye Gigitare" - BURUNDI
Best Gospel Female
1. Christina Shusho - "Unikumbuke" - TANZANIA
2. Gaby - "Amahoro" - RWANDA
3. Alice Kamande - "Upendo Ule ule" - KENYA
4. Upendo Nkone - "Haleluyah Usifiwe" - TANZANIA
Best Gospel Group
1. Nef Thalem Assegid - " Nebse" - ETHIOPIA
2. Mwanza Gospel Choir -Nivema" - TANZANIA
3. B.M.F - "I live for you" - KENYA
Best Gospel Collabo
1. Emmy Kosgei ft. Lynn. "Omegeu Rerein" - KENYA
2. Mbuvi Ft. Kambua - "Kivevelo" - KENYA
AFRO FUSION CATEGORY
Best Male
1. Winyo - "Odongo" - KENYA
2. Kidum - "Mapenzi" - BURUNDI
3. Mutinda " Simama" - KENYA
4. Muhire Francis - "Nawe Ndangiye" - BURUNDI
5. Maurice Kirya - "Boda Boda" - UGANDA
Best Afro Fusion Female
1. Liza Kamikaze - "kigali" - RWANDA
2. Emarauce Niwizera - Yambogorera" - BURUNDI
3. Achieng Abura - "Omusala" - KENYA
4. Chumba - "Ame Milamila Met" - KENYA
Best Afro Fusion Group
1. The Brothers - "Sawa Sawa" - RWANDA
2. Gargar - "Aids Wadila" - KENYA
3. Sauti Sol "Somasoma" - KENYA
RHUMBA CATEGORY
Best Male
1. Fally Ipupa - Sexy Dance - DRC
2. Chritian Bela "Yako wapi mapenzi - TANZANIA.
3. Ken Wa Maria - "Kavaluku" - KENYA
4. Papa Wemba - Six Million" - DRC
Best Rhumba Female
1. Masha Mapenzi - "Kala Urere" - KENYA
2. Tshala Mwana - "Maloz" - DRC
3. Vumilia Abraham - "Tatizo" - TANZANIA.
Best Rhumba Group
1. Just Family - "Mama" - RWANDA
2. Msondo Ngoma - "Kalunde" - Tanzania
3. J.B. Mpiana w/ Wenge Maison Were - "Mpunda" DRC
4. Werason w/ Wenge B.C.B.G - "Mitterand Champagne" - DRC
FOLK/TRADITIONAL CATEGORY
Best Male
1. Alfred & Bernard - "Igukumi Karotirinda" - BURUNDI
2. Eyob Mackonen - "Ye Mi Dirshie" - ETHIOPIA
3. Ethio-colour - Shemonmuama - ETHIOPIA
4. Diwani Nzaro - "Ukaa" - KENYA
Best Female
1. Beatrice Mathew - "Mapenzi ya Kweli" - TANZANIA
2. Nirere Shanel - "Ameteka" - RWANDA
3. Lady Jaydee - "Mtarimbo" - TANZANIA
4. Tina Mdulule (Big Mama) - "Tupapule" - TANZANIA
MOST PROMISING ARTISTS
Most Promising male Artist
1. Mabeste from - TANZANIA
2. Solomon Mukubwa from - DRC
3. Mr. Lengs from - SOUTH SUDAN
Most Promising Female Artist
1. Nirere Shanel from RWANDA
2. Keko from UGANDA
3. Friday John from South Sudan
BEST VIDEO CATEGORY
1. Lam - "Stay in Love" - SOUTH SUDAN
2. Amani - "Without You" - KENYA
3. Nonini - "Kataa Hiyo" - KENYA
4. Immanuel Jal - "We Want Peace" - S. SUDAN
5. M.O.G ft. Juliani "My Call" - KENYA
No comments:
Post a Comment