Tukio lingine kubwa la ajali ktk mwenzi huu wa September limetokea leo jijini Mbeya, baada ya lile kubwa zaidi kutokea pande za Nungwi huko Zanzibar baada ya Meli kuzama. Soko kubwa la SIDO Mbeya limeungua
Nimezipata hizi habari baada ya kuwasiliana na Mdau wangu mkubwa kutokea MBEYA, jamaa anaitwa Dj Fredy....... fuatilia chats zetu chache uone! Inasikitisha
Makavu; Niaje jembe langu?
Makavu; Niaje jembe langu?
Dj Fredy; poa kaka japo sio kwema huku soko limeungua balaa
Dj Fredy; bado kaka yaani sasa hivi eneo lote la manjelwa mpaka soweto ni kama kilomita moja hivi biasharazimefungwa ni balaaaaaaaa
Makavu; Zima moto vp hawajafika?
Makavu; Zima moto vp hawajafika?
Dj Fredy; walikuwepo hapa wanacheza cheza tu kwanza wamekuja kwa kuchelewa sana
Makavu; Chanzo nini mzaz?
Makavu; Chanzo nini mzaz?
Dj Fredy; kaka mi nilikuwepo pale wakati moto unawaka kila mtu anaongea lake but kuna mashushushu nimewaweka pale soon nitawapa ukweli ulivyo
poa kaka natoka kidogo baadae kaka
Makavu; naskia hili sio soko la kwanza kuungua Mbeya?
Dj Fredy; aah kaka yameungua masoko matatu sasa na yote ni makubwa sana hapa mbeya kwa kweli kwa hili la sasa umaskini huu hapa nauona mbeya kakaMakavu; naskia hili sio soko la kwanza kuungua Mbeya?
No comments:
Post a Comment