Friday, October 14, 2011

Ai Wei Wei, msanii mkali zaidi duniani...!



Msanii wa CHINA Ai Wei Wei pichani ametangazwa na ArtReview Power 100 kuwa ndie msanii bora zaidi na
mkubwa

kuliko wote hapa dunia kwa mwaka huu wa 2011. Ai Wei wei mwaka jana alishika nafasi ya 13 ktk wasanii bora wa ART WORK,

Ai Wei Wei amepatwa na neema hio huku akitokea ktk LUPANGO alipokuwa akishikiriwa tangu mwezi June kwa muda wa siku 81 akiwa na msala wa "kuhujumu uchumi"


No comments:

Post a Comment