World News

Wednesday, November 9, 2011

SAM Timber, prodyuza mkali pande za ARACHUGA...!

Mchizi anafahamika kama Samtimber ni prodyuza mkali sana ktk Studio za Fnouk Music zilizopo Arusha. Jamaa ameshapika beats kibao kali ktk ngoma za Ibra da Hasla, Dark Master, Chelea Man na zingine kibao.

Hivi karibuni amedondosha ngoma mbili alizotengeneza, "NENO" ya Fid Q amemshirikisha Loyd Eazie na "Sina Beef na wewe" ya Makamua. Unaweza kuziskiza na kudownload ktk Playlist hapo juu. Pia kuna ngoma mpya yaja ya Cyrill na Lavosti, get ready!

Sam kulia akishow luv na wana-Arachuga

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...