Tuesday, November 15, 2011
Wasanii waungana kutengeneza wimbo wa miaka 50 ya UHURU "TAN HAMSA"
NYIMBO YA MIAKA HAMSINI ILIYOSHIRIKISHA VIJANA WENGI
CHIPUKIZI NA WAKONGWE WACHACHE
JINA LA NYIMBO NI "tan hamsa" ikiwa na
maana tanzania miaka hamsini wasanii walioshiriki ni hawa....
Magret, Mayuti, Asinati, Sajna, Isumail, Dyna, C sir madini, Rich mavoko, Ney
wa Mitego, Mon-G, Tony, PNC, Josefry, Chesco, Sheby love TZ 9t Mbish real
Audio BURN_REC
Video USANIFU EXPERTS
Tafsiri halisi ya video hii tumejaribu kuonesha majukumu mbali mali
ya watanzania kwa uchache na maliasili tulizonazo nchini kwetu mfano
ni sura ya ney wa mitego kuiwekeo rangi ya DHAHABU Maana yake ni
madini tuliyonayo....
lengo la Usanifu EXPERTS ILIKUWA NI KUSHIRIKISHA WASANII WENGI KUTOKA
SEHEMU MBALI MBALI MWA NCHI YETU LAKINI TULISHINDWA KWA SABABU YA
MAWASILIANO NA UFINYE WA BAJETI
HATA HIVYO TUNAWASHUKURU SANA WALE WOTE WALIOJITEKEZA KWA DHATI
IKIWEMO WASANI WAKONGWE NA CHIPUKIZI PASIPO KUJALI UCHANGA USANIFU
EXPERTS
SHUKRANI ZA DHATI PIA ZIWAENDEE WADAU MBALIMBALI WA TASNIA HII YA
BURUDANI NA WATANGAZAJI,MADJ,NA WENGINEO KWA KUENDELEA KUISAPOTI
NYIMBO HII
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment