World News

Thursday, December 8, 2011

Msanii OMMY G ATOA ZAWADI YA MIAKA 50 YA UHURU KWA WATANZANIA

Msanii Ommy G anayetokea ktk familia ya Makavulive ametoa ZAWADI ya wimbo wake wa "TANZANIA" kwa wapenzi wa muziki wakati kesho tarehe 9 Dec. tukielekea ktk kilele cha kusherehekea miaka 50 ya UHURU wa nchi iliyokuwa ikiitwa TANGANYIKA tangu miaka ya 1961 mpaka Tanzania Bara hivi sasa.

Ngoma ilifanywa na KISAKA ktk Studio za Emotion Recordz zilizopo Kiwalani jijini DSM.
Chorus imesimamiwa na kijana mkali ktk medani za RnB anaitwa 'MON G'

Pokeeni zawadi hio ndugu waTanzania na wadau wa muziki, nyimbo ipo ktk playlist ya Makavulive unaweza kuskiza na ku-download kirahisi kabisa!
MIA

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...