World News

Friday, February 24, 2012

SUGUUUUUUU! Ngoma zake zaanza kulia Mjengoni....!

Mhe. Mr.II aka SUGU imedhihirika kwamba yeye ni Sugu......... baada ya kukomaa kiasi cha kufikiwa makubaliano aliyokuwa akiyataka kati yake na wadau wakubwa wa Muziki Bongo wakiongozwa na Ruge'

Kwa mara ya kwanza baada ya kitambo kirefu, nyimbo yake imesikika ikipigwa ndani ya kipindi cha kijanja town XXL ktk kituo cha Redio Clouds na kwamba sasa mambo ni shwariiiiiiii

BigUp Sugu!!
BigUp RUGE.......


Huu hapo juu, Bofya kuupitia.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...