Thursday, February 9, 2012

WASANII WAGOMEA TENA TUZO ZA TANZANIA KILI MUSIC AWARDS

Wasanii wa BONGOFLAVA wameendelea kutozikubali Tuzo za Music Tanzania zinazotolewa na Kilimanjaro, kama ilivyotokea miaka ya nyuma ambapo baadhi ya wasanii wamekuwa wakijitoa na kutotaka kushirikishwa kabisa ktk tuzo zao hizo..... hali hiyo imeendelea kutokea tena baada ya kutangazwa kwa NOMINEES wa Tuzo za mwaka huu
NOMINEES WA KILI MUSIC AWARDS 2011 NI KAMA IFUATAVYO;
WIMBO BORA WA MWAKA
1. Hakunaga / Suma Lee
2. Dushelele / Dully Sykes
3.Moyo Wangu / Diamond
4.Mathematics / Roma
5. Nilipe nisepe / Belle 9
6. Riz one / Izzo B


MTUMBU1ZAJI BORA WA KIUME
1. Diamond
2. Allykiba
3. Dully sykes
4. Bob Jr
5. Mzee Yusuph

MTUMBUIZAJI BORA WA KIKE
1.Khadija Kopa
2. Isha Mashauzi
3. Queen Darleen
4. Dayna
5. Shaa


MUIMBAJI BORA WA KIUME
1. Alikiba
2. Barnaba
3. Diamond
4. Belle 9
5. Mzee Yusuph

MUIMBAJI BORA WA KIKE
1. Lina
2. Lady Jay Dee
3. Khadija Kopa
4. Dayna
5. Isha Mashauzi

WIMBO BORA WA R&B
1. Nilipe Nisepe / Belle 9
2. Usiniache / Hemed
3. Maumivu / Ben Pol
4. Number one fun / Ben Pol
5. Napata raha / Jux

WIMBO BORA WA HIP HOP
1. Famous
2. King Zilla
3. Mathematics
4. Riz one
5. Kilimanjaro

MSANII BORA WA HIPHOP
1. Godzilla
2. Roma
3. Izzo b
4. Joh Makini
5. Fid Q

WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI
1. Kigeugeu
2. Chokoza
3. Mulika mwizi
4. Coming home
5. 4sho 4 shizzle

MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA
1. Maco Chali
2. Pancho Latino
3. Bob jr
4. Maneck
5. Man walter

VIDEO BORA YA MUZIKI YA MWAKA
1. Moyo wangu
2. Hakunaga
3. Wangu / Jay dee na Blue
4. Ndoa ndoana / Kassim feat blue
5. Bongo fleva / Dully sykes

WIMBO BORA WA AFRO POP
1. Hakunaga / suma lee
2. Bongo fleva / Dully sykes
3. Moyo wangu / Diamond
4. Mawazo / Diamond
5. Nai nai / Ommy dimpoz

MSANII BORA ANAECHIPUKIA
1. Ommy dimpoz
2. Darasa
3. Recho
4. Abdul kiba
5. Beatrice aka nabisha

WIMBO BORA WA ZOUK RHUMBA
1. Daima milele / Barnaba
2. Dushelele / Alikiba
3. Nivute kwako / Dayna
4. Wangu / Jay Dee feat Blue
5. Kizungu zungu / Recho

MTUNZI BORA WA MWAKA
1. Diamond
2. Alikiba
3. Mzee yusuph
4. Barnaba
5. Belle 9

WIMBO BORA WA KUHSIRIKIANA
1. Famous / Jay Mo feat Mimms na Imu kadir
2. King zilla / God zilla feat Marco chali
3. Wangu / Jay Dee feat Blue
4. Kama ni gangstar / Chege  feat Temba na Ferouz
5. Nai nai / Ommy dimpoz feat Alikiba

WIMBO BORA WA REGGAE
1.Mazingira / Malfred feat Lutan Fyah
2. Arusha gold / Warriors from East
3. Give it up to me / Delyla princess
4. Nia yao / 20%
5. Ni wewe/ Nakaaya

WIMBO BORA WA RAGGA / DANCEHALL
1. Good look / AY feat Miss Trinity
2. Maneno maneno / Queen Darleen
3. Ganja man / Dabo
4. Kudadeki / Malfred
5. Poyoyo / Malfred

WIMBO BORA WA TAARAB
1. Full stop / Khadija Kopa
2. Mamaa mashauzi / Isha Mashauzi
3. Hakun mkamilifu /  Jahazi
4. Nani kama Mama / Isha Mashauzi
5. Nilijua mtasema / Jahazi

WIMBO BORA WA KISWAHILI  (BENDI)
1. Dunia Daraja / African stars
2. Hukum ya Mnafik / Mashujaa band
3. Falsafa ya Mapenzi / Extra bongo
4.Usia wa babu / Mapacha Watatu
5. Mtenda /Extra Bongo

RAPA BORA WA MWAK A(BAND)
1. Kalidjo Kitokololo
2.Khalid Chokoraa
3. Fagason
4. Msafiri Diof
5. Totoo ze Bingwa

No comments:

Post a Comment