World News

Wednesday, March 14, 2012

MAKAVULIVE WAACHIA NYIMBO MPYA!!

DULLAYO Kiongozi wa familia ya MAKAVULIVE

Combine ya MAKAVULIVE ikiongozwa na Dullayo, Joslin na Mon-G imeachia nyimbo mpya inayokwenda kwa jina la 'NAKUPITIA' ambayo imefanyika chini ya usimamizi wa Producer Villy, nyimbo hiyo ya Bongofleva imepikwa vizuri tayari kukonga nyoyo za wapenzi wa muziki wa kizazi kipya duniani.

 Tayari mzigo umeshaanzwa kusambazwa ktk Redio, Online na sehemu zingine ili kuweza kuwafikia wapenzi wote wa burudani ya muziki. 

Pia ngoma inapatikana ktk Playlist ya Makavu hapo ambapo unaweza ku-download na kuskiza kirahisi zaidi.

Hii inakuwa ngoma ya pili baada ya ile ya 'MAMBO MAMBO' iliyotoka mwishoni mwa mwaka jana.No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...