World News

Wednesday, March 28, 2012

NYINGINE - "MSAMIATI"

Msamiati
Baada ya Tamani, Bongo Records na T-Block Entertainment wanamleta kwenu Msamiati akishirikiana na Jux pamoja na Steve RnB kwenye nyimbo yake mpya inaitwa NYINGINE.

 Msamiati “Wote mnajua uwezo wa P-Funk a.k.a Majani, ukiniuliza kitu kingine cha ziada kilichonipeleka kwake ntajibu nilichagua kuwa historia mpya ya Bongo Records, ilikua kazi rahisi kwakuwa nimefanya na waimbaji bora ila bado ukaribu, ushirikiano, uvimilivu na kiu ya kufanya vizuri kwa kila mmoja wetu ilitosha kufanya muungano wetu utoe kitu kizuri na tofauti kwaajili ya wasikilizaji na wapenzi wa muziki huu”

Skiza ngoma kuna Playlist ya Makavu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...