World News

Wednesday, March 21, 2012

Video ya UKO WAPI kufanyika Jumamosi, 24th March

Mon-G & Dullayo
Video ya wimbo wa MON-G, "UKO WAPI" ambamo ameshirikishwa Dullayo inatarajiwa kufanyika siku ya Jumamosi tarehe 24 March jijini Dsm.

 Nyimbo hiyo imefanywa na Producer Sheddy Clever kutoka Studio za Burn Records, itapigwa ki-uhalisia zaidi amesema Mon-G sterling ktk Video hiyo.

Pia msanii huyo upcoming ameomba ushirikiano kutoka kwa wadau mbalimbali kushiriki ktk kideo chake hicho ili kunogesha na kuongeza utamu wa picha.
Hii itakuwa ni video ya pili Mon-G kushut baada ya ile ambayo alishirikiana na Producer wake Salu-B "Kasimama Pekeake"

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...