World News

Saturday, April 7, 2012

BARNABA AMUENZI MAREHEMU STEVEN KANUMBA

Wakati watanzania wakiwa kwenye majonzi makubwa kwa kuondokewa na kipenzi Steven Kanumba 
Mida ileile ambayo Steven Kanumba the Great amefariki, msanii kutoka THT Barnabas amepata mtoto wa kiume na ili kumuenzi Steven Kanumba ameamua kumpa mtoto wake jina la STEVEN

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...