World News

Thursday, April 19, 2012

BARNABA ZAIDI YA DIAMOND KWA KURA 7..! Ila bado kuna Utata NANI ZAIDI???


 Redio 1 imeonyesha Barnaba ni mkalidhidi ya Diamond ktk Mchuano wa wasanii wawili kwa muziki unaofanana baada ya mkali wa "Milele Daima" kumzidi mkali wa "Moyo Wangu' kwa kura 7 kutokana na wadau walopiga kura hizo ambapo Barnaba alipata 24 na Diamond 17 kupitia Nani Zaidi ya Redio One Stereo.

Awali ktk Tuzo za Kili wawili hawa walikuwa ktk category 2 tofauti ambazo ni Mtunzi Bora wa Mwaka na Mwimbaji Bora wa Kiume na kila mmoja wao kushinda moja kati ya hizo.

Diamond mshindi wa Tuzo 3 za kili alikuwa nominated ktk category 5 na Barnaba alipata Tuzo 1 baada ya kuwa nominated ktk category 3...... huwezi juwa labda nae angekuwa nominated mara nyingi kama Diamond pengine angejizolea 3 km Diamond!!


Kwenye Show kali ya DIAMOND ARE FOREVER, Barnaba aliperform na kutunzwa na mpenzi wa zamani wa Diamond. Pia X-gf huyo wa Diamond aliwahi kusema kuwa anamkubali sana Barnaba af Diamond ndio anafuatia, akaongeza kuwa hata Diamond analijua hilo coz aliwahi kumwambia......'

SASA WADAU, HIVI KIUKWELI NANI MKALI ZAIDI KATI YA HAWA MAJAMAA WAWILI?????
Kama Vp, Wakutanishwe LIVE halafu tuone NANI MKALI

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...