World News

Monday, April 9, 2012

Kanumba alijua akaimba "....kama leo nikifa kila mtu atanisifu kwa lake...."Nyimbo iliyoimbwa na Marehemu Kanumba inaitwa "NITAINUA MACHO YANGU JUU"....Moja ya mistari kwenye hii nyimbo ni 

""Kama leo nikifa kila mtu atanisifu kwa lake ******* ,ata hao wanaonichukia watabeba jeneza langu kwa nyimbo na sala za uzuni,Mwenzangu leo niko hai twachukiana sana , usoni wa cheka rohoni ni vita,Tusameane tuishi kwa upendo na amani,Furaha yetu hadi mbinguni tuwe na furaha ya milele.""

R.I.P STEVEN KANUMBA

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...