World News

Thursday, April 26, 2012

Mwanadafada Doraine atoka na OVER THAT!

Mwanadada Doraine,ni femcee toka arachuga na anadrop first track yake alorekodia pande za noizmekah.com chini ya defxtro.na hapa amemshirikisha DjMido wa kambi ya JamDropa Dj's,,Doraine ni member katika female group inayofahamika kama Effect Zero ambayo ipo katika race za kurecord album yao.

"game la music 2meweza kulisoma poa and hopefully me and ma girl Simaloi as EffectZero,we gwan rock the scene this year,we have faith in our management;Batoo Ent & the JamDropa deejays,our producers and most of all our fans"asema mwanadada Doreine

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...