World News

Sunday, April 29, 2012

New Track; Kona Zote za Dar - BenzaRelly

                                                        BENZARELLY (BABU)

KUTOKA PANDE ZA MBEZI BEACH (MAKONDE) JIJINI DAR ES SALAAM, MSANII CHIPUKIZI WA BONGO FLEVA ANAYESUMBUA KWENYE MITAA MINGI YA HUKU MBEZI BEACH PAMOJA NA VITONGOJI VYAKE  KAMA KAWE NA TEGETA AYEJULIKANA KWA JINA LA CHRISTIAN BENZARELLY (A.K.A BENZARELLY) AMEACHIA TRACK YAKE MPYA KABISA INAYOKWENDA KWA JINA LA "KONA ZOTE ZA DAR"   KAZI NZURI YA MKONO WA MTU MZIMA G5, PANDE ZILE ZA MBEZI BEACH DAR. BENZARELLY ANAWAAMBIA MASHABIKI WAKE WAKAE MKAO WA KULA KWANI YUPO MBIONI KUACHIA TRACK ZINGINE MFULULIZO AMBAZO ZITAKUJA KUMBAMBA ILE MBAYA...!

 BENZARELLY PROFILE:
 JINA LA MSANII :  CHRISTIAN  BENZARELLY (A.K.A BENZARELLY)
 JINA LA WIMBO : KONA ZOTE ZA DAR
 STUDIO            : DUBI RECORD
 PRODUCER
       : G5
 PHONE NO        : 0718150152

   BY OWEN.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...