World News

Thursday, April 26, 2012

Tash, Veejay & Meccacheka kukisanua Arusha kesho...!

Veejay, Tash Na Meccacheka kukisanua live pande za Empire Sports Bar ndani ya Shoprite Complex Arusha Kesho kwa hisani kubwa ya Sister Tumaini wa Empire pamoja na Brother Erick wa MJ,Entry ni bure so come one come all tufurahie muziki wetu wa Arusha bila kukosa show kali toa kwa breakdancers wa ukweli...

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...