World News

Monday, June 25, 2012

"CANDY AACHIA VIDEO MPYA CHINI YA NEW PAGE VIDZ PRODUCTION"


CANDY CALFONIA AMEACHIA VIDEO YAKE MPYA INAYOKWENDA KWA JINA LA "CHANINI" CHINI YA USIMAMIZI WA MTU MZIMA DIRETOR "GOBA FRED" AMBAYE ANAMILIKI KAMPUNI YA "NEW PAGE VIDZ," VIDEO HIYO AMBAYO INATAZAMIWA KUWA NGUMZO KWA MASHABIKI NA WATAZAMAJI WA RUNINGA MBALIMBALI HAPA NCHINI, KWANI HUMO NDANI KUNA MBWEMBWE, KUJIACHIA KUSIKO MFANO, KUJISHEBEDUA, KURINGA KULIKOPITILIZA NA UHODARI MKUBWA WA KUDANCE ALIOUONYESHA NDANI YA VIDEO HIYO, HAKIKA DIRECTOR ALIKUWA MWENYE WAKATI MGUMU SANA WAKATI ANACHUKUA CLIPS ZA VIDEO HIZO.....EBU PATA NAFASI UIONE VIDEO HII NA UONE JINSI CANDY ALIVYOJIACHIA NI BALAA...!! VIDEO YAKE HIVI PUNDE TU ITAONEKANA KWENYE VITUO MBALIMBALI VYA LUNINGA NDANI NA NJE YA TANZANIA. MWANADADA CANDY AMBAYE WIMBO WAKE HUO MPYA UNAOKWENDA KWA JINA LA "CHANINI" NI MIONGONI KWA JIMBO 6 ZA WASANII CHIPUKIZI ZILIZOCHAGULIWA KWA AJILI YA FIESTA 2012 NA NI MWANAMKE PEKEE KWENYE GROUP HILO LA WATU SITA AMBAPO WATANO NI WANAUME.

JINA LA WIMBO (VIDEO) : CHANINI

WATENGENEZAJI WA VIDEO : NEW PAGE VIDZ

MSIMAMIZI : GOBA FRED

MSANII : CANDY

WATENGENEZAJI(AUDIO) : PAMOJA RECORDS

MAWASILIANO YA MSANII : 0753 915938

BARUA PEPE : hellendavid40@yahoo.com

FACEBOOK & TWITTER : CANDY CALFONIA

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...