World News

Friday, June 22, 2012

New Track; DS ft. Biko - TWENDE KIJIJINI

DS akimshirikisha Biko, kwa pamoja wakiwa wasanii chipukizi wa bongofleva nyanda za kaskazini wanakuja kitofauti zaidi kwani nyimbo hii ya twende kijijini inaashiria kuwa bongo fleva sio mambo ya mapenzi tu bali hata ujumbe unaweza kuhusishwa mana humu DS anazungumzia maisha ya mjini namna yanavokuwa magumu nyakati zingine hata kula ni utata hivyo kupelekea maisha kuwa mateso na ya kuuza sura tu!
support ni kitu muhim tunashkuru media zote

Skiza track na ku-download ktk playlist hapo juu, FoR PrOmO onlyyyyyyy

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...