World News

Monday, July 16, 2012

NEW Song; KOMBOLELA - B Alone!!


“B  ALONE" MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA AMEACHIA WIMBO  NA VIDEO YAKE MPYA INAYOKWENDA KWA JINA LA KOMBOLELA, MSANII HUYO AMBAYE  HIVI  SASA AMEJIZOLEA UMAARUFU MKUBWA KUTOKANA NA MAHUDHUI YA WIMBO WAKE HUO  UNATOKANA NA MCHEZO WA KOMBOLELA AMBAO WATOTO WENGI WANAPENDA KUUCHEZA,  ANAJISIKIA FAHARI KWA JINSI MASHABIKI WAKE WALIVYOPAGAWA NA WIMBO HUO.  B  ALONE AMBAYE ANATOKA PANDE ZA MAKAMBAKO MKOANI IRINGA TAYARI  VIDEO YAKE INAFANYA VIZURI KWENYE VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISION, B  ALONE ANASEMA KUWA SHUKRANI KUBWA ZIENDE  KWA  STUDIO ZA  AMBA AMBAKO NDIKO ALIPOTAYARISHIA WIMBO HUO, CHINI YA PRODUCER MACHACHARI MTU MZIMA AMBA, PIA VIDEO YA WIMBO HUO KOMBOLELA  IMETENGENEZWA NA  "ALAMA XP" CHINI YA USIMAMIZI WA   DIRECTOR  TENYA BROWN. B ALONE AMBAYE SHUGHULI ZAKE  ZA MUZIKI SASA HIVI AMEAMISHIA JIJINI DAR TAYARI AMEKUWA KIVUTIO KWA MASHABIKI WAKE KWA JINSI WIMBO HUO ALIVYOUIMBA.

WASIFU WA B ALONE:
JINA LA KISANII                        :    B  ALONE
JINA LA WIMBO                          :    KOMBOLELA
STUDIO NA PRODUCER                :    AMBA
VIDEO IMETAYARISHWA NA       :    ALAMA XP
DIRECTOR                                     :    TENYA BROWN
CONTACT ( B ALONE)                    :     0716 498999

 B ALONE  AKIFANYAMATAYARISHO YA INTERVIEW YAKE  NA DADA RECHO NDAUKA WA STAR TV KWENYE KIPINDI CHA  BONGO BEAT KINACHORUSHWA NA STAR TV.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...