World News

Wednesday, December 5, 2012

HII NI BEAT Ya CHRISS..!

Chriss Da Real akiwa na mchizi wake wa karibu Mr. Blue ktk moja ya pilika za kisanii

ChRiSs Da Real zamani alikuwa anajulikana kama CHRISS 4 REAL pale alipokuwa kampani moja na ALI KIBA 4 REAL na kufanya collabo mbalimbali ikiwemo "UMECHINA ft. Ali Kiba" iliyomtambulisha vyema kwenye game ya Bongofleva

 Kwa sasa CHRISS mbali na Muziki wa BongoFleva anajishughulisha zaidi na Utengenezaji wa Music Videos akiwa na kampuni yake mpya ya DA REAL FILMS. Tayari kuna kazi mbili tatu alizokwisha kuzifanya ikiwemo video yake mpya ya 'HOLLYDAY" aliyoikamilisha muda si mrefu huku Production ya ngoma hio ikiwa imefanywa na KGT Shadee ndani ya Studio za G RECORDZ...

 Pamoja na kuimba na kutengeneza Videoz za wasanii wenzie, ChIsS Da REAL ni mkali sana ktk kutengeneza ma-BEAT, ameshatengeneza instumental kibao na kuwapa baadhi ya wasanii wa bongofleva pia ktk ngoma zake karibu zote BEAT ametengeneza mwenyewe.

  Sikiliza BEAT ya CHRISS ambayo ameivesha ktk ngoma ya Demarco inayoitwa Wine me nuh gyal (hold u riddim)

1 comment:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...