Tuesday, December 4, 2012

New Sound; MeccaCheka ft. Nakaaya - "Darasa Huru"


MeccaCheka wafanya collabo na Nakaaya na round hii track inakwenda kwa jina "Darasa Huru" ikiwa ni hiphop track yenye mafunzo tosha kwa jamii,
"Tumewajia ki-concious saivi maana Meccacheka wengi wanatufaham kama wakali wa ngoma za club zaidi kupitia "rakata","cheka Ung'atwe na "pole" tulizorecord mtindo wa kwaito/mdundiko" asema Mwiro ambaye ndio kiongoz wa kundi,
Riz asema "Meccacheka tunawashukuru zaidi washabiki wetu wote mnaotupa shavu, kutu-support game letu pamoja na harakati zetu zingine,pia kwa siter Nakaaya na Defxtro pande za noizmekah.com kwa kutupa moyo wa kufanya yetu" kwa mawasiliano/interview na booking za show check nasi kupitia 0654879598 & 0715652878 download darasa huru HAPA

No comments:

Post a Comment