World News

Thursday, January 10, 2013

MAN KASSU AACHIA TRACK NYINGINE


Baada ya kama mwezi mmoja hivi kupita  tangu aachie track yake inayokwenda kwa jina la akateka, Man kassu aachia track nyingine mpya ambayo ni zawadi  ya mwaka mpya kwa mashabiki wake  inayokwenda kwa jina la Nyasinde. Kama ilivyo ada yake Man Kassu amechanganya lugha tatu tofauti ndani ya wimbo huo……….ametumia lugha  ya Kiswahili, kihaya, kigita na kiingereza. kazi nzima imefanyika katika studio za   PAMOJA Rekodi mkono wa mtu mzima NAS B.
Man kassu anasema milango ipo wazi kwa mameneja ambao wangependa kufanya nae kazi kwa mawasiliano zaidi 0716 258899.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...