World News

Wednesday, February 20, 2013

'DINA' ATOKA NA "NIMEMPATA"

Dina Brown, msanii chipukizi wa BongoFleva

Msanii Chipukizi ktk mahadhi ya Bongofleva Dina Mapunda aka Dina Brown ameanza kuuwasha moto wake rasmi kwa kuachia nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la "NIMEMPATA", akiihabarisha Blog ya Makavu leo jioni Dina amesema kwa muda mrefu alikuwa akifanya mazoezi na kujiweka fiti ili aweze kufikia malengo yake ya kutoa track kali ambayo itakuwa burudan tosha kwa mashabiki na wapenzi wa muziki hususan Bongofleva, sasa wakati wake ndio umewadia na bila kusubiri sana wiki hii ameamua kuitambulisha nyimbo yake kwa wadau wa muziki na ma-fans kwa ujumla akitegemea support ya kutosha ktk fani hii ya muziki.

Nyimbo ameifanya ktk Studio za UB Recordz zilizopo jijini Dar es salaam, chini ya usimamizi wa Prodyuza mahiri Star Jay


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...