World News

Thursday, March 21, 2013

Filamu ya Ngono “The Adventures Of Wapipi Jay” imeachiwa tena Part 2 Ghana........

Watengeneza filamu wa Ghana wameiachia filamu ya pili ya ngono nchini Ghana "Adventures Of Wapipi Jay", kwa mara ya kwanza kabisa Ghana pornographic movie ilitolewa 2007 ambapo ilitoa mstuko mkubwa kwa watu wengi, hasa wale wanaowatambua wahusika wakuu ktk filamu hii wakiwalaumu kwa nini wamejiingina ktk mradi huu wakuchukiza.

Licha ya hasira kubwa na malalamiko mengi ya kukataa filamu hio, watengenezaji wa sinema hio, Wakiki Entertainment wametoa Part 2, ambayo inauzwa sana miongoni mwa jamii ya Ghana nje ya nchi. Baadhi wanamini pia inapatikana katika maduka kadhaa nchini Ghana.

 Movie hio imefanyika ktk mitaa ya Ghana, waliocheza na wazalishaji wote wanatokea Ghana pia. 

Sound tracks ya movie hio ni kutoka kwa nyimbo za wasanii wanaojulikana ambao ni pamoja na Lumba, Ofori Amponsah, KK Fosu na wengine. Wahusika wakuu (ma-sterling) waliocheza pia ni jamaa wanaofahamika ambao ni  wanaume wawili, Wapipi Jay na K. Bonsu wakati wa kike ni Adjoa, Akosua, Fatima na wengine.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...