World News

Wednesday, March 20, 2013

J4C na WANAHASO Screenshot

J4C yupo chimbo akiandaa Video ya track yake ya "WANAHASO" kama screenshots zinavyoonesha hapo ikiwa ni track alorecord Pande za Fnouk Records kwa Samtimber, Ikiwa ni kazi ya tatu toka kampuni ya VMG Africa,ya kwanza ikiwa ni "Wish u To Stay" ikafatiwa na "Lullaby ya FBG" endelea kusikiliza kazi ya Wanahaso HAPA wakati video ikikamilishwa foe launch next week...

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...