World News

Thursday, March 21, 2013

Just Dance FRIDAY @ Ambassadors Lounge..... IJUMAA HII

Thanx Kwa Watoto Wazuri Wote Na Wana wote Kutoka U.D.S.M Na I.F.M Na CBE Na Wengine Wote Mliojitokeza Kwa Wingi Sana Na Muda Wote Mlikuwa Kwa Dance Floor IJUMAA ILIYOPITA,Sasa Tufanye Hivyo Tena IJUMAA HII (22.03.2013) Na KILA IJUMAA,"Jus Dance Friday" Ndio Habari Ya Mjini Sehemu Ni AMBASSADORS LOUNGE,Mziki Mzuri Mwendo Wa Club Bangers Rnb/Hip Hop,Pop,Ragga,Naija,Kwaito N Introducing Kidogo Funk Arabic & Indian cLUB sONGS,Kwenye Wheels Kama Kawa Kama Dawa Ni Mr Skills Dj Steve B,Dj Bulla Na Dj Skit (Kenya),Kuanzia Saa 3 Usiku Unachangia Elfu 10 Tu Halafu Kama Vipi Tuna "Jus Dance" Ol Night Long

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...