World News

Monday, March 11, 2013

KAIJAGE BEMA AACHIA WIMBO WAKE WA KWANZA


MSANII CHIPUKIZI TOKA PANDE ZA MBEZI BEACH JIJINI D`SALAAM AMEACHIA WIMBO WAKE MPYA UNAOKWENDA KWA JINA LA  ZAINA, WIMBO HUO AMERKODIA TOKA STUDIO ZA IGGO RECORD CHINI YA PRODUCER MACHACHARI ANDREW. TAYARI KAIJAGE  AMEFANYA MATAYARISHO YA KUREKODI NYIMBO ZAKE 3 KWENYE STUDIO HIYO.

WASIFU  WA KAIJAGE
JINA LA MSANII       :           KAIJAGE BEMA
JINA  LA WIMBO      :           ZAINA
STUDIO                       :           IGGO RECORD
PRODUCER                :           ANDREW
SIMU                            :           0716 552139

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...