Tuesday, March 19, 2013

NAMTAMBULISHA "J ONE" KUTOKA KAHAMA

 
Huyu ndiye J One, Msanii katika mahadhi ya Bongo Flava kutoka katika mji wa madini Kahama. Anatambulisha Ngoma yake mpya ikiambatana na Video akimshirikisha Msanii wa Mwanza Baraka Prince, Ngoma Inakwenda kwa jina la Kisharo sharo.
Unaweza kuipata video ya J One ft Baraka Prince- Kisharo Sharo kupitia: http://www.youtube.com/watch?v=M2d-ztc6Pxo

No comments:

Post a Comment