World News

Monday, March 11, 2013

New Sound; CJAMOKER ft. Cosby - "MOVE ON" Fonce B
Oscar Alfonce aka CJAMOKER ni msanii na pia prodyuza anaefanya vizuri sana ktk game ya muziki hapa bongo. Kwasasa anakuja na nyimbo mpya kabisa inayoitwa MOVE ON akiwa amemshirikisha COSBY wa BHit's, nyimbo imefanyikia ktk Studio za Feel Good Musics zilizopo Sinza Mapambano akiwa ametengeneza yeye mwenyewe.

Kabla ya hii ngoma mpya anayoiachia hivi sasa Cjamoker aliachia nyimbo inayoitwa "You make me feel" mwaka 2008 na baadae "Collabo" mwaka 2010 akiwashirikisha Soggy Doggy na ManSu-Li.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...