Toka pande za Mbezi Beach Makonde msanii anayechipukia wa bongo fleva ambaye ni gumzo kwenye vijiwe na mitaa ya makonde, aitwae Tido ameachia single yake mpya inayokwenda kwa jina la kidampa. Akiwa kwenye matayarisho ya kuandaa albamu yake ambayo bado hajaipa jina tayari wimbo wake huo wenye maadhi ya mduara umeanza kushika kwenye vituo mbalimbali vya Redio. Kazi nzima imefanywa na mtu mzima Andrew kwenye studio za IGGO Record.
Wasifu wa msanii Tido
Jina la kisanii  : Tido
Wimbo   :  Kidampa
Studio : Iggo Record
Mtayarishaji  : Andrew
Mawasiliano ya msanii  : 0656 042746