World News

Wednesday, March 20, 2013

WYRE msanii pekee EastAfrica ktk Tuzo za Reggae na Muziki Duniani....!

Tuzo za IRWMA (International Reggae and World Music) zimepangwa kufanyika May 4, 2013 huko Fort Lauderdale, Florida kwa Obama.East Afrika inawakilishwa na Wyre 'the love child' msanii kutoka Kenya.

Sherehe hizi za Tuzo zinafanyika kuheshimu mafanikio na michango ya Wasanii wa Reggae na tasnia ya muziki ulimwenguni, ikiwa ni pamoja na: watunzi, performers, promoters na wasanii.

Nominees kutoka Africa ni (kwa category):

Best New Entertainer
Wyre (Kenya)

Best Female Vocalist
Nkule Dube (SA)

Best African Entertainer
Fally Ipupa (Congo)
D’banJ (Nigeria)
P-Square (Nigeria)
Nkulee Dube (South Africa)
Liquideep (South Africa)
Daddy Muss (Sierra Leone)
Sarkodie (Ghana)

Most Outstanding Dance Group
Djembe Druming (Africa)

Kura zimeshaanza kupigwa, sasa unaweza kuBofya HAPA na kumchagua msanii unayependa ashinde.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...