World News

Friday, April 19, 2013

Club QA Dance Competition & Gnako......

Mdau wa burudani Njoo ushuhudie mashindano haya ujipatie bidhaa toka konyagi kwa nusu bei pamoja na maji ya kunywa bure toka Sodaking saa mbili jioni hadi majogoo!!! katika shindano la kucheza Muziki "AQ Dance Competition" litakalofanyika Club Aquiline Arusha likisimamiwa na GNAKO kama Mc siku ya Jumamosi tarehe 20 Mwezi huu wa nne kwa kiingilio cha shilingi 5000/= Tu Mlangoni..Washiriki wote wajiandikishe mapema kupitia simu nambari 0764960960 au 0655364409 kujipatia nafasi ya kushinda Zawadi kabambe ya shilingi Laki Tano,Malazi katika LushGarden Hotel,VIP Card ya Club AQ pamoja na Tshirts..

 "AQ DANCE COMPETIOTION" inaletwa kwenu kwa hisani kubwa ya Hotel Aquiline, Konyagi, SodaKing, Lush Garden Hotel na Noizmekah Production Studios....

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...