World News

Wednesday, April 3, 2013

ZEWDY, Chipukizi anayeitambulisha style ya Ethiopian Soul

Mwanadafada mpya ktk game ya muziki Afrika, Zewdy ni kama anakuja na style mpya ambayo wasanii wengine kutoka ethiopia hawakuifanya kabla......

Akiimba kwa sauti tamu na nyororo kabisa mwanadada huyu amechanganya style ya miziki yao ya kitamaduni na RnB na kutengeneza style tamu zaidi ya muziki wa kiafrika (Ethio-Soul)

Ngoma yake mpya kabisa inaitwa ‘Into The Night‘, enjoy......


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...