World News

Wednesday, May 15, 2013

G-HOOD

Anaitwa G-Hood toka Arusha,Newcomer aliyeanza harakati za kurekodi mwaka huu, na zaidi ni rapper anayefanya zaidi muziki wa crunk na pia Trap..Ngoma yake amefanya pande za Noizmekah studios akimshirikisha defxtro katika chorus ya wimbo huu wa "Naendelea Kutafuta" Download HAPA na endelea kusupport muziki wa Tanzania kwa mahojiano zaidi na mwasiliano check na G-hood kupitia +255 759 903 824
http://www.hulkshare.com/x6ez7tlbnthc

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...