World News

Wednesday, May 15, 2013

Happy BirthDay Dj D WHITE!

 Leo ni Birthday ya Mnyamwezi Dj D WHITE, Dj wa kitambo Club Bilicanas ambaye sasahivi anapiga muziki ktk kituo cha Radio One.............
Ktk Picha akiwa na Dj Mackay pamoja na Millard Ayo siku za nyuma kidogo

Pamoja na DWhite MAKAVU Blog inawatakia Kheri ktk Siku yenu muhimu ya kuzaliwa, wadau wote mliozaliwa siku kama ya Leo. 15-5

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...