World News

Monday, June 24, 2013

'Mkali wa Hiphop' Awapoza Mashabiki wasimzingua Pozi kwa Pozi......! FB

aSANTENI SANA WATU WANGU WA DODOMA KWA MAPOKEZI MLIYONIPA JUZI.ASANTENI SANA KWA SHANGWE ZA KUTOSHA.MUNGU AWABARIKI SANA

NAOMBA NICHUKUE MUDA HUU PIA KULIONGELEA SWALA LA OMY DIMPOZ. JAMANI MASHABIKI WETU TUNAWAOMBA SANA MUWE MAKINI NA HABARI MNAZOZIPATA ZIFANYIENI UCHUNGUZI KWANZA. MANENO ALIYOONGEA OMY YALIKUWA NI YA KAWAIDA SANA TENA ALIYAONGEA JUKWAANI AKIWA ANAKABIDHIWA TUZO YAKE SIKU YA TUZO ZA KILIMANJARO.ALIONGELEA SWALA LA WASANII KUFA MASIKINI AKIWA ANAILALAMIKIA SERIKALI NA MAKAMPUNI KUWA HAVITUSAPOT VYA KUTOSHA SISI WASANII LAKINI TUNAPOKUFA THAMANI YETU INAONEKANA.LAKINI MANENO HAYA YAMEGEUZWAGEUZWA NA KUONEKANA SUMU KWA HUYU JAMAA.KAMA LEO KAFANYIWA OMY DIMPOZ KESHO ATAFANYIWA KALA JEREMIAH.KWAHIYO MIMI NAKEMEA SWALA HILI KWA NGUVU ZANGU ZOTE OMY HAJAMTUSI ALBERT MANGWEA NA HAWEZI KUFANYA HIVYO KWA SABABU KWANZA OMY SIYO MLEVI.MASHABIKI TUNAWAOMBA SANA MSIINGILIE SIASA ZA KIMZIKI MZIKI WETU UNA SIASA NYINGI SANA.YANI UKIKWARUZANA NA MTU HATA KAMA ANA KIBLOG CHAKE UTAKOMA JINSI AMBAVYO ATAKUANDIKA NA KUKUHARIBIA JINA.POLE SANA OMY, POLENI SANA MASHABIKI WA OMY.
MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI BONGO FLEVA.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...