Wednesday, June 26, 2013

New Sound; Cmpoo - 'Baby Rasta'

Hii ni brand new toka kwa msanii Cmpoo mwenye maskani yake Arusha na shughuli pande jirani na RocaSigns jijini Arusha na hapa anadrop ngoma mpya "Baby Rasta' ikiwa ni mkono toka kwa Defxtro,Noizmekah Production Studio,Pata kusikliza HAPA na endelea kusupport  muziki wa Tanzania, Kwa mawasiliano na mahojiano zaidi check na Cmpoo kupitia +255 757 613 316 powered by www,vmgafrica.com
------------------------------
http://www.hulkshare.com/o84if41q77k0

No comments:

Post a Comment