World News

Tuesday, June 18, 2013

Pumzika kwa Amani LANGA!!!!!!!!

Ndugu,jamaa,marafiki na wasanii wajumuika kwenye mazishi ya rapper Langa Kileo aliyefariki wiki iliyopita katika hospital ya muhimbili jijini Dar es Salaam.Langa amezikwa leo kwenye makaburi ya kinondoni ambapo mazishi yake yameongozwa na wazazi wake wawili Mr & Mrs Kileo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...