World News

Monday, June 10, 2013

Washindi Tuzo za Kilimanjaro 2013Wimbo bora wa mwaka: Dear God – Kala Jeremiah

Msanii bora wa Kiume: 
Diamond

Msanii bora wa kike: Lady Jaydee

Msanii bora wa kike Taarab: Isha Mashauzi

Msanii bora wa kiume Taarab: Mzee Yusuf

Msanii bora wa kiume Bongo Flava: Diamond

Msanii bora wa kike Bongo Flava: 
Recho

Msanii bora wa Hip Hop: Kala Jeremiah

Msanii bora wa kiume Bendi: Chalz Baba

Msanii bora wa kike Bendi: Luiza Mbutu

Msanii bora anayechipukia: Ally Nipishe

Video bora ya mwaka: Baadaye – Ommy Dimpoz

Mtunzi bora wa mashairi Taarab: Mzee Yusuf

Mtunzi bora wa mashairi Bongo Flava: Ben Pol

Mtunzi bora wa mashairi hip hop: 
Kala Jeremiah

Mtunzi bora wa mashairi Bendi: Chalz Baba

Mtayarishaji bora wa mashairi muziki wa kizazi kipya: Man Walter

Mtayarishaji wa wimbo wa mwaka – Taarab: Enrico

Mtayarishaji wa wimbo mwaka – Bendi: Amoroso

Mtayarishaji chipukizi wa mwaka: Mesen Selekta

Rapper bora wa bendi: Fagasoni

Wimbo bora wenye vionjo vya asili: Chocheeni Kuni – Mrisho Mpoto ft Ditto

Wimbo bora wa bendi: Risasi Kidole – Mashujaa Band

Wimbo bora wa Reggae: Kilimanjaro – Warriors from The East

Wimbo bora wa Afrika Mashariki: Valu Valu – Jose Chameleone

Wimbo bora wa Bongo Pop: Me an You – Ommy Dimpoz ft Vanessa Mdee

Wimbo bora wa kushirikiana/Kushirikishwa: Me and You – Ommy Dimpoz ft Vanessa Mdee

Wimbo bora wa Hip Hop: Nasema Nao – Nay wa Mitego

Wimbo bora wa rnb: Kuwa na Subira – Rama Dee ft. Mapacha

Wimbo bora wa ragga/ dancehall: Predator – Dabo

Wimbo bora wa Taarab: 
Mjini Chuo Kikuu – Khadija Kopa

Wimbo bora wa zouk rhumba: Ni wewe – Amini

Bendi bora ya mwaka: Mashujaa Band

Kikundi bora cha Taarab: 
Jahazi Modern Taarab

Kikundi bora cha muziki wa Kizazi kipya: Jambo Squad

Hall of Fame – Institution: Kilimanjaro Band wana Njenje

Hall of Fame – Individual: Salum Abdallah

Orodha imetolewa na Kili Lager

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...