World News

Tuesday, July 23, 2013

DULLAYO apata mtoto wa kiume!


Msanii Abrahaman Kassembe aka Dullayo amepata mtoto wa kiume kutoka kwa mpenzi wake wa siku nyingi. Akiongea na Makavu Blog huku akiwa mwenye furaha D-Timing amesema mtoto wake amempa jina la SAMEER.

Blog ya Makavu na wana wote wa MakavuLive wanakupa Hongera sana Mnyamwezi, na kukutakia kila Lakheri ktk malezi mema ya mtoto, Mungu amusimamie! Amin.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...